Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza wakati alipotembellea na kukagua ghala la kuhifadhi vifaa vya msaada wa kibinadamu wakati wa maafa lililopo mkoani Kilimanjaro.
Afisa Ugavi Sekretarieti ya Mkoa wa Kilimanjaro Bwa. Claude Kilala akitoa maelezo kwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu ) Mhe. Ummy Nderiananga alipotembelea ghala hilo.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga (aliyeinama) akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Hassan Babu (kulia)
0 Comments