
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akitoa zawadi kwa wanajumuiya ya makao ya kulea watoto wa Kijiji cha Matumaini kwa mchango wao katika malezi ya watoto wakati wa kuadhimisha miaka 20 ya makao hayo yaliyopo Jijini Dodoma tarehe 17/08/2022.
Askofu wa Jimbo kuu la Dodoma Mhashamu Askofu Mkuu Beatus Kinyaia akitoa Salam za kumkaribisha Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima wakati wa maadhimisho ya Miaka 20 ya makao ya watoto Yatima na wasiojiweza ya Kijiji cha matumaini Jijini Dodoma tarehe 17/08/2022.
0 Comments