MATUKIO KATIKA PICHA

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akiweka jiwe la msingi ujenzi wa Madarasa na maabara katika shule ya sekondari Maria De Mattias inayomilikiwa na makao ya watoto Kijiji cha Matumaini Dodoma wakati wa maadhimisho ya Miaka 20 ya makao hayo tarehe 17/08/2022.





Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akitoa zawadi kwa wanajumuiya ya makao ya kulea watoto wa Kijiji cha Matumaini kwa mchango wao katika malezi ya watoto wakati wa kuadhimisha miaka 20 ya makao hayo yaliyopo Jijini Dodoma tarehe 17/08/2022.


Askofu wa Jimbo kuu la Dodoma Mhashamu Askofu Mkuu Beatus Kinyaia akitoa Salam za kumkaribisha Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima wakati wa maadhimisho ya Miaka 20 ya makao ya watoto Yatima na wasiojiweza ya Kijiji cha matumaini Jijini Dodoma tarehe 17/08/2022.

Post a Comment

0 Comments

 MAGARI 25 YA TUME YA MADINI YAMEZINDULIWA,YATASAMBAZWA KWENYE OFISI ZA MAAFISA MADINI