WATUMISHI WA UMMA WILAYA YA BUSOKELO NA RUNGWE WAMEPATIWA MAFUNZO YA URAI NA UTAWALA BORA


KATIBU Tawala Wilaya ya Rungwe Ally Kiumwa amesema Tegemeeni matokeo mazuri kwa Elimu ya Uraia na Utawala Bora kwa viongozi kwani watakwenda kuongeza ufanisi katika Utumishi wa Umma .

Mafunzo hayo yamefanyika leo 06/03/2025 Wilayan Rungwe katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe.

Mafunzo hayo ya yameandaliwa na Wizara ya Katiba na Sheria Watumishi wa Umma katika Halmashauri za Wilaya ya Busokelo na Rungwe wamepatiwa mafunzo ya Uraia na Utawala Bora ili kuongeza matokeo chanya katika kuwatumikia Wananchi.

Washiriki wa mafunzo hayo ni Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri, Kamati na Ulinzi ya Usalama ya Wilaya ,Wakuu wa Divisheni na Vitengo kutoka Halmashauri za Rungwe na Busokelo pamoja na Watendaji wa Kata zote zilikoko katika Halmashauri za Rungwe na Busokelo.

Miongoni mwa mada zilizofundishwa ni pamoja Haki za Bidanadamu, Katiba, Uraia na Utawala Bora.






Post a Comment

0 Comments

UDOSO SCHOLARSHIP FUND YAZINDULIWA