BRELA YAPATA TUZO YA TPSF


 Na Mwandishi wetu, Dar es salaam 

WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) ni miongoni mwa Taasisi za Serikali zilizotambuliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) katika siku ya TPSF, kutokana na mchango wake katika kukuza uwekezaji wa sekta binafsi nchini.  

Hafla hiyo imefunguliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, tarehe 02 Novemba 2022. katika ukumbi wa The SuperDome Arena) Masaki, Jijini Dar es salaam.

Katika hafla hiyo Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amemkabidhi tuzo Mtendaji Mkuu wa BRELA, Bw. Gofrey Nyaisa BRELA ikiwa ni miongoni mwa BRELA YAPATA TUZO YA TPSF

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) ni miongoni mwa Taasisi za Serikali zilizotambuliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) katika siku ya TPSF, kutokana na mchango wake katika kukuza uwekezaji wa sekta binafsi nchini.  

Hafla hiyo imefunguliwa rasmi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, tarehe 02 Novemba 2022. katika ukumbi wa The SuperDome Arena) Masaki, Jijini Dar es salaam.

Katika hafla hiyo Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amemkabidhi tuzo Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA, Bw. Godfrey Nyaisa, BRELA ikiwa ni miongoni mwa Taasisi za Umma kadhaa zinazochangia katika ukuaji wa sekta binafsi na uchumi wa nchi.

Post a Comment

0 Comments

 MAGARI 25 YA TUME YA MADINI YAMEZINDULIWA,YATASAMBAZWA KWENYE OFISI ZA MAAFISA MADINI