Mbunge wa Malinyi, Mhe.Antipas Mgungusi, akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa leo Aprili 15,2024 asubuhi Bungeni, akiteta juu ya hali ya Jimbo la Malinyi katika Miundombinu iliyoharibika kutokana na Athari za Mvua kubwa na Mto Furuwa.
Dar es Salaam KATIBU Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Eliakim Chacha Maswi amekutana na ujumbe …
Read more
0 Comments