UMMY NDERIANANGA ACHUKUA FOMU UBUNGE VITI MAALUM WANAWAKE WENYE ULEMAVU


 Na mwandishi wetu, Kilimanjaro 

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Wenye Ulemavu Ummy Nderiananga Juni 30,2025 amechukua fomu ya kugombea Ubunge Viti Maalum kundi la Wanawake Wenye Ulemavu.

Nderiananga amekabidhiwa fomu hiyo katika Ofisi ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na Katibu UWT Mkoa wa Kilimanjaro Ndug. Jane Chatanda.

Post a Comment

0 Comments

UMMY NDERIANANGA ACHUKUA FOMU UBUNGE VITI MAALUM WANAWAKE WENYE ULEMAVU