HABARI PICHA:
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM, Ndugu Rehema Sombi Omary (MNEC) ametembelea mabanda ya maonesho katika Wiki ya Vijana inayozinduliwa leo Oktoba 10, 2026 wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa. Ndugu Sombi ameambatana na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji na Wajumbe wa Sektreatarieti ya Baraza Kuu la UVCCM.
#kazinaututunasongambele










0 Comments