Jaribu kujifunza








 *TUNAANZA HIVI*……(part one)

_usije kuacha kusikiliza na kujifunza.

‘’unapoona mjasiramali aliefanikiwa sana,ambae unaweza kumtamani,Usiogope kufikiria kwamba unaweza usifike alipo.Walianza pale ulipo kwa sasa.kila Simba mkubwa amewahi kuwa mdogo.Jifunze tu namna ya kuwinda.

“ukitaka kufanikiwa kweli kama mjasiriamali,Tambua hitaji la mwanadamu,alaf litatue”

Usiangalie tu kile ambacho wewe binafsi unaona kama tatzo bali fanya homework yako kwanza ili uelewe tatzo kwa mitazamo tofauti.Unafaya hivi kwa kuwa tayari kusikiliza na kujifunza kutoka kwa wengine,wakiwemo wateja wako na wataalam kwenye secta unayofanyia kazi.

Kama unavojua,wengine watatoa ushauri na mawazo ambayo hukubaliani nao au yale ambayo hutaki hata kusikia.Lakin mara nyingine yale utakayosikiliza yanaweza yakawa ya mhimu zaidi hata kama hukubaliani nayo!

Kumbuka mjasiriamali unalenga ubora,huduma/biashara zinaweza kuwepo hata Mia ndani ya eneo linalokuzunguka Kama unayoanza/unayofikiria kuanza lakin bado tatzo likawa halijatatuliwa vzuri.Ni fursa kwako.

Post a Comment

0 Comments

MATIVILA AAGIZA MKANDARASI KUFANYA KAZI USIKU NA MCHANA