MILIONI 118 ZATUMIKA UJENZI WA OFISI YA KATA YA VINGUNGUTI





Kamati ya maendeleo kata ya Vingunguti ikiongozwa na Mstahiki Meya wa jiji la Dar es salaam, ambaye pia ni diwani wa kata hiyo Omary Kumbilamoto aliyeweka mkono mfukoni wakitembelea ujenzi wa ofisi ya Kata hiyo inayojengwa na Mkandarasi National Housing Kwa thamani ya shilingi milioni 118.

Kamati ya Maendeleo ya kata ya vingunguti wakijadiliana jambo kwa pamoja.



Kamati ya Maendeleo ya kata ya vingunguti wakijadiliana jambo kwa pamoja.

Post a Comment

0 Comments

UDOSO SCHOLARSHIP FUND YAZINDULIWA