Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi eneo la Ujenzi wa Majengo ya MpigaChapa Mkuu wa Serikali kwa Mkandarasi Hainan International Limited Machi 25, 2022 Kisasa Jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu) Bwa. Kaspar Mmuya akifafanua jambo katika hafla ya kukabidhi eneo la Ujenzi wa Majengo ya MpigaChapa Mkuu wa Serikali kwa Mkandarasi Hainan International Limited Machi 25, 2022 Kisasa Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Ujenzi ya Hainan International Limited Mhandisi Ding Wu (wa katikati) akieleza jambo baada ya hafla ya kukabidhiwa eneo hilo Machi 25, 2022 Kisasa Jijini Dodoma.
0 Comments