MAJARIBIO YA MWONGOZO NA VIWANGO SANIFU VYA STADI ZA MAISHA KWA VIJANA YAANZA MKOANI MWANZA

MATUKIO KATIKA PICHA



Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu Dkt. Mwiga Mbesi akifafanua jambo wakati wa zoezi la Majaribio ya Mwongozo na Viwango Sanifu vya Stadi za Maisha kwa Vijana linalo fanyika mkoani Mwanza.



Sehemu ya Vijana walioshiriki katika zoezi la Majaribio ya Mwongozo na Viwango Sanifu vya Stadi za Maisha kwa Vijana wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa zoezi hilo.


Wawezeshaji walioshiriki katika kutoa elimu kwa vijana wakati wa zoezi la Majaribio ya Mwongozo na Viwango Sanifu vya Stadi za Maisha kwa Vijana linalofanyika mkoani Mwanza kuanzia tarehe 5 hadi 9 Disemba, 2022.


Post a Comment

0 Comments

 KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA YANOLEWA