KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUELEKEA KAMPENI YA KILI CHALLENGE 2023 MKOANI KILIMANJARO

MATUKIO KATIKA PICHA









KIKAO cha maandalizi kuelekea zoezi la kampeni ya Kili Challenge 2023 ambapo inatarajiwa washiriki 60 kupanda mlima Kilimanjaro na kuendesha baiskeli ikiwa ni sehemu ya kuchangia masuala ya Afua za UKIMWI nchini, mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Mstaafu wa Awamu na Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Mkoani Kilimanjaro Julai 14, 2023.







Post a Comment

0 Comments

CHATANDA:RAIS DK. SAMIA AMEIMARISHA SEKTA YA MADINI