Songea, Ruvuma
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Pius Chatanda ameongoza harambee ya ununuzi wa gari kwa ajili ya usafiri wa Mchungaji Julia Philemoni katika Kanisa Kuu la Jimbo la KKKT Songea.
Harambe hiyo imefanyika Disemba 22,2024 Songea, Ruvuma ambapo Mwenyekiti huyo amechangia zaidi vya ya Shilingi Milioni 2.6
#uwtimara
#Jeshiladktsamiadktmwinyi
#Kaziiendelee
#Ushindinilazima
#Miaka63YaUhuru
0 Comments