TRIILIONI 1.109 KUTUMIKA KATIKA VIPAUMBELE 13, WIZARA YA AFYA



Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akisoma bajeti ya Trilioni 1.109 ya wizara hiyo bungeni leo jijini Dodoma Mei16, 2022.

Dodoma

i. Kuimarisha miundombinu ya kutolea huduma za afya zikiwemo Hospitali za Rufaa za Mikoa, Kanda, Maalum na Taifa
ii. Kuimarisha upatikanaji wa dawa, vifaa, vifaa tiba na vitendanishi katika ngazi zote za utoaji wa huduma za afya;
iii. Kuimarisha huduma za matibabu ya ubingwa na ubingwa bobezi;
iv. Kuimarisha huduma za afya nchini zikiwemo huduma za mama na mtoto ili kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi, 
v. Kuimarisha utoaji wa huduma za chanjo kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano;
vi. Kuimarisha mifumo ya ugharamiaji wa huduma za afya nchini;
vii. Kuimarisha utoaji wa mafunzo ya wataalam katika Sekta ya Afya;
viii. Kusimamia ubora, usalama na ufanisi pamoja na kufanya tafiti mbalimbali za Afya;
ix. Kuimarisha utawala bora na uwajibikaji katika utoaji huduma za afya;
x. Kuimarisha ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa;
xi. Kudhibiti magonjwa ya mlipuko, kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza; na
xii. Kuimarisha mifumo ya TEHAMA na matumizi ya takwimu.


Post a Comment

0 Comments

 MAGARI 25 YA TUME YA MADINI YAMEZINDULIWA,YATASAMBAZWA KWENYE OFISI ZA MAAFISA MADINI