MARIAM DITOPILE ATOA MKONO WA PASAKA


 MBUNGE Viti Maalum Mkoa Wa Dodoma (CCM) Mariam Ditopile Ametoa Mkono wa Pasaka Kwa Watoto Wanaolelewa Katika Kituo Cha Chelishi Miuji Dodoma akiongea baada ya kutoa mkono huu Mbunge Mariam amesema kwa kujibu wa imani yake inamuelekeza wakati wa Skuku wale wanaojiweza wanatakiwa kwenda kusherehekea na wale wasijiweza kwa kuwapatia mavazi na chakula.




Post a Comment

0 Comments

EWURA: HUDUMA YA MAJI IKICHELEWA, MTEJA ANA HAKI YA FIDIA