RASIMU YA MWONGOZO JUMUISHI WA KITAIFA WA UFUATILIAJI NA TATHMINI WAJADILIWA


Dodoma

KATIBU  Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kupitia Rasimu ya Mwongozo Jumuishi wa Kitaifa wa Ufuatiliaji na Tathmini Kilichofanyika Februari 28, 2024 kwenye ukumbi wa mikutano Ngome Jijini Dodoma.

Kikao hicho kilihudhuriwa na Makatibu Wakuu,  Wakurugenzi wa Vitengo vya Ufuatili na Tathmin pamoja na Wataalam wa Ufuatiliaji na Tathmini wa Ofisi ya Waziri Mkuu.

Post a Comment

0 Comments

CHATANDA:RAIS DK. SAMIA AMEIMARISHA SEKTA YA MADINI