MEYA JIJI LA DAR ES SALAAM AMSHUKURU RAIS DK.SAMIA KUWAPATIA GARI ZA KUBEBA WAGONJWA


Dar es Salaam 

MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Omary Kumbilamoto amemshukuru Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya Halmashauri ya jiji hilo kwa kutupatia gari 10 za kubebeawangonjwa ambazo zitasaidia wananchi.

"Nichukue fursa hii kwa niaba ya Halmashauri ya jiji la Dar es salaam kumshukuru Rais Dk.Samia kwa kutupatia gari 10 za kubeba wagonjwa ambazo zitasaidie wananchi wa jiji letu, na pia Ambulance hii kuanzia sasa itabaki hapa kwa ajili ya kuhudumia wananchi wa kata ya Vingunguti na viunga vyake,"ameeleza.

Post a Comment

0 Comments

CHATANDA:RAIS DK. SAMIA AMEIMARISHA SEKTA YA MADINI