CHATANDA AMEAGIZA NCHI NZIMA KUKAMILISHA NYUMBA ZA WATUMISHI WA UWT

Disemba 30, 2024, IRINGA MJINI

MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Taifa, Mary Chatanda (MCC) ameweka jiwe la msingi ujenzi wa nyumba ya katibu wa UWT wilaya ya Iringa mjini huku akihimiza nyumba hiyo ikamilike kwa haraka ili iweze kuzinduliwa februari 2025 na kuanza kutumika.

Chatanda ametoa Maelekezo, "Hivyo ninapenda kutoa agizo nchi nzima kwa mikoa ambayo haijakamilisha ujenzi wa nyumba za watumishi kuanzia ngazi ya mkoa na wilaya wahakikishe wanakamilisha".

Ameyasema hayo alipokuwa akihitimisha ziara yake ya siku nne mkoani Iringa ya Kuhamasisha Wananchi wa mkoa huo, kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura.

#uwtimara

#jeshiladktsamianadktmwinyi

#kaziiendelee




Post a Comment

0 Comments

UKATILI DHIDI YA WATOTO NA VIJANA WAPUNGUA: WAZIRI DKT. GWAJIMA