Dk.Kigwangala achukua fomu ya Naibu Uspika,ajinadi


Aliyekuwa waziri wa Maliasili na U Dk.Khamis Kigwangala akionesha fomu ya kuwania kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

 Na Asha Mwakyonde,Dodoma

ALIYEKUWA  Waziri wa maliasili na Utalii Dk.Khamisi Kigwangala ambaye pia ni mbunge wa Nzega vijijini, amejitokeza  kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Akizungumza kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Jijini Dodoma Leo February 5, 2022 Kigwangala amejinadi kuwa na uzoefu wa kutosha kwenye Chama na Serikali kwa kuwa Mbunge kwa kipindi cha tatu.

"Nina uzoefu wa kutosha wa kuongoza na ninaimani na chama changu Cha Mapindizi na nina haki ya kuwania nafasi hii," amesema Dk. Kigwangala.


Post a Comment

0 Comments

TAARIFA ZA WASTAAFU NHIF KUHAKIKIWA MAHALI WALIPO