WAZIRI MHAGAMA AWAONGOZA MACHIFU KUTEMBELEA ENEO LA MNARA WA MASHUJAA MJI WA SERIKALI


WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama akiwaongoza Machifu kutoka mikoa mbalimbali nchini kutembelea eneo la Mnara wa Mashujaa lililopo Mji wa Serikali Mtumba, mara baada mkutano wao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Julai 20, 2024.




Post a Comment

0 Comments

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE UTAWALA, KATIBA NA SHERIA YAPITISHA RANDAMA YA BAJETI YA WIZARA KATIBA NA SHERIA KWA PONGEZI