DK. YONAZI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGIMZO NA UJUMBE KUTOKA IFAD


Na mwandishi wetu, Dodoma 

KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo - IFAD wanaosimamia Programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo na Uvuvi (AFDP) katika ukumbi wa Ofisi hiyo leo 12 Septemba, 2024 Jijini Dodoma.




Post a Comment

0 Comments

MAHUNDI AWASHTUA VIJANA IWAMBI KUTUMIA MICHEZO KUPATA AJIRA, KUJENGA IWAMBI BILA UHALIFU