MATUKIO KATIKA PICHA

KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu leo tarehe 13 Agosti, 2024 ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kuhusu Mapitio ya Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto Awamu ya Pili ( MTAKUWWA II 2024/25 - 2028/29)kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dodoma







.


Post a Comment

0 Comments

CHATANDA:RAIS DK. SAMIA AMEIMARISHA SEKTA YA MADINI