NAIBU WAZIRI KATIMBA AKIFUATILIA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA BUNGENI


Naibu Waziri Wizara ya Katiba na Sheria Mhe.Zainab Katimba akifuatilia Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo. iliyowasilishwa na Waziri wa wizara hiyo, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera, Bungeni, jijini Dodoma, tarehe 24 Aprili, 2026.

Post a Comment

0 Comments

MAPINDUZI SEKTA YA HAKI JINAI, SERIKALI YAIMARISHA MASHTAKA NA KUHARAKISHA HAKI