Mara
Madini ni Zaidi ya Uchimbaji.
#Sehemu ya Kwanza
KUTOKA kuuza matunda, mbogamboga na shughuli za mama lishe, hadi kuwa Mtoa huduma kwenye Mgodi wa North Mara chini ya Kampuni ya Kimataifa ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu ya Barrick.
Hii ndiyo nguvu ya Sekta ya Madini ikibadilisha maisha, ikifungua fursa na kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja, jamii na taifa.
Hadithi ya Lucy Marwa Ryoba Mkurugenzi wa Kampuni ya LUMRY COMPANY LIMITED iliyopo Nyamongo, Mara inatukumbusha: fursa katika Sekta ya Madini hazipo ardhini pekee bali pia zipo kwenye huduma na biashara zinazozunguka shughuli za madini.
Madini ni Zaidi ya Uchimbaji.
#LocalContent
#UshirikiWaWatanzania
#SektaYaMadini
#WomenInMining
#MadiniNiMaisha
#MadiniNiUtajiri

0 Comments