WAANDISHI WA HABARI WANOLEWA KUIMARISHA VIPINDI VYA MALEZI YA WATOTO DAR ES SALAAM


 Dar es Salaam 

#Matukiokatikapicha 

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum inaratibu mafunzo kuhusu wajibu wa wazazi/walezi katika malezi na matunzo ya familia kwa ajili ya Waandishi wa Habari wanaohusika na kutayarisha vipindi vya malezi ya Watoto, mafunzo ya Watoto katika vipindi vya radio na Televisheni kwa lengo la kuhakikisha wanatayarisha maudhui yenye ubora, yanayofundisha, kuburudisha na kusaidia ukuaji sahihi wa mtoto katika kila hatua. 


LMafunzo yanafanyika kwa siku tano kuanzia leo Mei 4 – 8, 2026 jijini Dar Es Salaam yakifadhiliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto (UNICEF) ambalo linafanya kazi kulinda haki za watoto, kuboresha afya, lishe, elimu, na usafi wa mazingira duniani kote.         

                           #MaleziNaMakuzi #WatotoKwanza #ContentWithPurpose #ElimuKwaJamii #MaleziBora #WatotoWetu #ElimuKwaWatoto #UkuajiWaMtoto             

Post a Comment

0 Comments

MKUU WA MKOA AWAALIKA WANANCHI KUPATA MSAADA WA KISHERIA BURE SHINYANGA